Kuhusu Ushirika Wetu

Jua historia, maono, na muundo wa ushirika wetu

Historia

2009

Immanuel Nivokavit Kombe – Mbeba Maono wa ushirika.

2015

JIBU GROUP COMPANY LTD – Kampuni iliyoleta mwamko wa umuhimu wa elimu ya fedha.

2022

Kubadilishwa kuwa SACCOS – Baada ya changamoto mbalimbali, wazo la kuwa SACCOS likawa rasmi.

2022

Katiba Rasmi 01/07/2022 – Katiba ikatengenezwa na kusajiliwa, ushirika ukaanza rasmi.

Muundo wa Ushirika

Mbeba Maono

Immanuel Nivokavit Kombe ndiye mwanzilishi na mbeba maono wa ushirika huu.

JIBU GROUP COMPANY LTD

Kampuni mama inayosimamia shughuli za kiutendaji, masoko, na elimu kwa wanachama.

Ubia wa Kipekee

Ushirikiano kati ya Mbeba Maono na JIBU GROUP unahakikisha mfumo endelevu.

Changamoto Zilizojitokeza

  • Ukosefu wa elimu ya fedha kwa wanachama
  • Mfumo dhaifu wa uwekaji kumbukumbu
  • Changamoto za uaminifu na uwazi
  • Uhaba wa miongozo rasmi ya uwaraji

Ufumbuzi Wetu

  • Elimu endelevu kupitia vitabu na miongozo
  • Mfumo wa kisasa wa kidijitali
  • Uwazi kamili wa malipo na akiba
  • Katiba na sera rasmi za uendeshaji