KWA WATU WA UCHUMI MDOGO NA WATU WA UCHUMI WA KATI
Kufanya Fedha Ziwe na Mzunguko wa Kasi Salama
Jiunge na Ushirika wa Uwaraji na uanze kujenga mustakabali wako wa kifedha.
Dira Yetu
Kuwa kiongozi katika kuwawezesha wanachama kifikra na kifedha kupitia mfumo shirikishi wa uwaraji Afrika kwa mwaka 2030.
Dhamira Yetu
Kutoa elimu na mifumo bunifu ya kifedha inayowasaidia wanachama kufikia malengo yao kwa usalama na ustawi endelevu.
Takwimu za Ushirika
4
Wanachama
2
Vitabu na Miongozo
2022
Mwaka wa Kuanzishwa
Vitabu na Miongozo Yetu
Kitabu
Ushirika wa Uwaraji Mawazo ya Mwanzo
Mwongozo, Katiba, Sera ya Mikopo...
TSh 10,000
Ingia Kununua